Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiukagua gwaride la heshima muda mfupi baada ya kuwasili jijini Maputo Msumbiji kuhudhuria sherehe za miaka 40 ya uhuru wa Msumbiji zilizofanyika jana katika uwanja wa Michezo wa Machava jijini Maputo.
Rais wa Msumbiji Felipe Jacinto Nyusi amkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete katika uwanja wa Michezo wa Michezo wa Machava jijini Maputo Msumbiji kuhudhuria sherehe za miaka 40 za Uhuru wa Msumbiji.Msumbiji ilipata uhuru wake tarehe25/06/ 1975 kutoka kwa Ureno.
0 comments:
Post a Comment