Thursday, October 2, 2014

Thursday, October 02, 2014

Akitangaza matokeo hayo mwenyekiti wa Bunge maalum la katiba Samuel Sitta amesema akidi kutoka Bara na Zanzibar imetimia na kwamba kura zilizopigwa zimetosha kupitisha rasimu hiyo inayopendekezwa.


Mapema katibu wa bunge John Joel alisoma matokeo ya upigaji kura ibara zote za sura ya rasimu ya katiba.
Bunge hilo linatarajiwa kuvunjwa tarehe 04 mwezi huu kwa mujibu wa sheria.
Matokeo
TANZANIA BARA
Idadi ya wabunge-411
Waliopiga kura-335
Wasiopiga kura-76
Akidi inayotakiwa ni kura -274
Kura za NDIYO ni -331
Kura za HAPANA ni 1 hadi 4

ZANZIBAR
Idadi ya wabunge-219
Waliopiga kura-154
Wasiopiga Kura-65
Akidi inayotakiwa ni kura -146
Kura za NDIYO-147
Kura za HAPANA- 7

CHANZO: TBC

0 comments: