Thursday, October 16, 2014

Thursday, October 16, 2014
                           

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Ndugu Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa NEC mjini Dodoma.



TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa jana Oktoba 15, 2014 katika kikao chake cha siku moja kilichofanyika mjini Dodoma chini ya Mwenyekiti wa CCM Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete imefanya uteuzi wa Makatibu 27 wa wilaya kuziba nafasi zilizo wazi kutokana na sababu mbalimbali.
Makatibu wa Wilaya walioteuliwa ni kama ifuatavyo;-
1.         Ndugu Omar Mtuwa                               15. Ndugu Hamis Kananda
2.        Ndugu Acheni Maulid                               16. Ndugu Ali Yusufu Salum
3.         Ndugu Mohamed Gwama                        17. Ndugu Magreth Mtatiro
4.         Ndugu Amina Imbo                                18. Ndugu Tabu Lugwesa Zamalu
5.         Ndugu Barnabas Nyerembe                     19. Ndugu Julius John Mbwiga
6.         Ndugu Agnes Mfunya                                       20. Ndugu Rhoda George
7.         Ndugu Raphael Maumba                         21. Ndugu Lucy Boniface Shee
8.         Ndugu Naboth Manyonyi                         22. Ndugu Helena Chacha
9.         Ndugu Hamdan Haji Machano                  23. Ndugu Mafunda Hamis Ali
10.          Ndugu Agnes Ben Kasela                        24. Ndugu Doris Kimambo
11.          Ndugu Albert Stima                               25. Ndugu Elizabeth Kasimiri
12.          Ndugu Nobert Kibaji                              26. Ndugu Shaibu Ally Mtawa
13.          Ndugu Kulwa Omar Milonge                              27. Ndugu Mariam Yusufu
14.          Ndugu Zitta Malyaga
Imetolewa na:-                   
                                                              
Nape Moses Nnauye,    
KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA,

ITIKADI NA UENEZI
16/10/2014


0 comments: