Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na viongozi wa Bendi ya Msondo
ngoma ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana.Viongozi hao walimtembelea
Rais Kikwete ikulu leo na kufanya naye mazungumzo.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha ya pamoja na viongozi wa Bendi
ya Msondo ngoma ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana.Viongozi hao
walimtembelea Rais Kikwete ikulu leo na kufanya naye mazungumzo.
0 comments:
Post a Comment