Waziri
Mkuu Mizengo Pinda akibadilishana mawazo na viongozi wa kampuni ya
Katanja-Neoval Oil baada ya kusikiliza mada yao. Wa pili kulia ni Rais
wa Kampuni hiyo, Bw. KRZYSZTOF SWIACKI. (Picha na Irene Bwire wa OWM). Waziri
Mkuu Mizengo Pinda akimsikiliza Mkurugenzi wa kampuni ya Katanja-Neoval
Oil, Bw. NICODEMO SWIACKI (kushoto) akiwasilisha mada kuhusu kampuni
yao ambayo inataka kuwekeza Tanzania kwenye kiwanda cha kusafisha
dhahabu na ujenzi wa hoteli ya kimataifa huko Zanzibar. Wa pili kulia ni
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Dk. Mahadhi Juma Maalim na Naibu Waziri
wa Fedha, Bw. Mwigulu Nchemba. (Picha na Irene Bwire wa OWM).
0 comments:
Post a Comment