Wasanii wa Kundi la Wanne Star wakitoa burudani kwenye hafla hiyo. Wadau
wa Mfuko wa Pensheni wa PPF Kanda ya Temeke walikutana mwishoni mwa
wiki katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano ndani ya Jengo la Quality Center, Barabara ya Nyerere jijini Dar es
Salaam. Mkutano huo ulikusudiwa kutoa Elimu kuhusu Sheria Mpya ya Hifadhi ya
Jamii
.
Maafisa wa Mfuko wa PPF wakifatilia Burudani iliyokuwa ikitolewa na kundi la Wanne Star.
Sehemu ya Wadau na Maofisa wa Mfuko wa PPF wakiwa kwenye hafla hiyo.
Meneja wa PPF akitoa mada ya Elimu kuhusu Sheria Mpya ya Hifandhi ya Jamii.
0 comments:
Post a Comment