Kama anavyofahamika kwa wimbo wake maarufu wa ‘Johnny’, mwanamuziki huyo aliuchukulia msiba huo kwa imani na anasema aliitegemea familia yake pamoja na marafiki kwa kipindi hicho kigumu na kisichotarajiwa.
Kama mwezi mmoja baada ya kufiwa baba, akaunti yake ya instagram ilifanyiwa udakuzi.
Yemi amebainisha kwamba mwili wa baba yake utazikwa mwezi mei, akiwa kwenye ziara ya kimuziki barani Ulaya hivi karibuni, ameliambia gazeti moja kwenye mahojiano kuwa baba yake atazikwa kati ya tarehe 7 au 8 mwezi wa tano mwaka huu bila kubainisha mazishi hayo yatafanyika sehemu gani na kwa namna gani
0 comments:
Post a Comment