Baadhi ya wananchi waliohudhuria mkutano huo katika kata ya Maruanga wakimshangilia mbunge wao, Joshua Nassari |
Nassari akiwaapisha wananchi katika kata ya Maruanga huku akiwataka kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura. |
Mbunge Joshua Nassari aki0nyesha moja kati ya magari mawili ya kubebea wagonjwa aliyotoa kusaidia wakazi wa jimbo la Arumeru Mashariki. |
0 comments:
Post a Comment