Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, akiwapungia mkono wakazi wa mji wa Kigoma wakati akiwasili kabla ya kufanya mkutano wahadhara wa kutambulisha viongozi wa chama hicho.
Mwenyekiti wa chama cha ACT Wazalendo, Anna Mghwira, akiwapungia mkono wakazi wa mji wa Kigoma baada ya kuwasili kabla ya kufanya mkutano wahadhara wa kutambulisha viongozi wa chama.
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe na msanii Baba Levo wakicheza wimbo wa chama kwenye mkutano wahadhara mjini Kigoma.Wimbo huo umeimbwa na msanii Baba Levo.
0 comments:
Post a Comment