Sunday, August 2, 2015

Sunday, August 02, 2015
Naibu Waziri wa Kazi na Ajira na Mbunge wa Segerea anayemaliza muda wake,Mh. Dkt. Makongoro Mahanga akizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwake Segerea mwisho (hawapo pichani) na kutangaza kujiondoa Chama cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo Jumapili Agosti 2, 2015.

0 comments: